Misa za Dominika
Misa ya kwanza – saa 12 kamili Asubuhi
Misa ya pili – Saa 2 kamili Asubuhi
Misa ya tatu (Vijana) – Saa 4 kamili Asubuhi
Misa ya nne (Watoto) – Saa 10 kamili Jioni (Watoto waanza na mafundisho saa 8 kamili mchana)
Misa za wiki
kila siku saa 11:50 asubuhi